โšก Solution by Gospel Multimedia Pro

Digitize Uendeshaji wa Kanisa Lako Kwa Ufanisi.

Mfumo sahihi na salama wa kusimamia Zaka, Sadaka, Sensa ya Ushirika, na Mabaraza ya Kanisa. Hakuna makaratasi wala upotevu wa data tena.

๐ŸŽฅ OFISI MAMA (PARENT COMPANY)

Gospel Multimedia Production

KanisaSmart Hub ni mfumo wa kiteknolojia ulioundwa na kuendelezwa na Gospel Multimedia Production. Sisi ni mabingwa wa utayarishaji na uzalishaji wa vyombo vya habari vya kikanisa, urushaji wa matangazo mubashara (Live Broadcasts), urekodiaji wa kwaya, pamoja na ubunifu wa tovuti na picha nchini Tanzania.

๐ŸŽฌ Live Streaming (Makambi & Mikutano)
๐ŸŽ™๏ธ Live Audio & Video Recording
๐ŸŽต Utayarishaji wa Albamu za Kwaya
๐ŸŽจ Graphics Design & Branding
๐Ÿ’ป System & Web Development
Weka Oda ya Live Streaming / Recording ๐ŸŽฅ ๐Ÿ“ž Mawasiliano Direct: +255 712 725 417 / +255 757 605 734

๐ŸŽฌ Portfolio & Kazi Zilizokamilika

Tazama sampuli za matukio tuliyorekodi, Live Streaming za Makambi, na Kwaya tulizofanya nchini.

๐ŸŽฅ

Full HD Live Video Streaming

๐ŸŽฅ Live Broadcast

Mkutano wa Injili & Makambi

Urushaji wa matangazo mubashara (Full HD) na Multi-camera setup kikanisa.

๐ŸŽต

Audio & Video Studio Production

๐ŸŽ™๏ธ Live Recording

Albamu za Kwaya & Waimbaji

Kurekodi live Audio Sound na Video za kwaya mbalimbali nchini.

๐Ÿ’ป

SaaS Systems & Web Development

๐ŸŒ System Development

Jukwaa la KanisaSmart

Ujenzi wa mifumo ya kidijitali ya usimamizi wa makanisa na taasisi.

๐Ÿ“ข Matangazo & Updates za KanisaSmart

Taarifa za hivi karibuni kuhusu maboresho ya mfumo, matukio ya kikanisa, na huduma mpya za Media.

๐Ÿ”ฅ MPYA & YA KISASA

Mfumo wa Subdomains Kiotomatiki

Sasa kila kanisa linalosajiliwa KanisaSmart linapata anwani na portal yake ya kipekee mfano: index.php?kanisa=kirumba bure kabisa!

๐Ÿ“… KanisaSmart Platform
๐ŸŽฌ MEDIA & BROADCAST

HUDUMA ZA LIVE STREAMING ZA MAKAMBI

Gospel Multimedia Production inakuletea huduma ya urushaji matangazo mubashara (Live Broadcast HD) kwa ajili ya Mikutano ya Injili na Makambi kwa bei nafuu.

๐Ÿ“ž Piga: +255 712 725 417
๐Ÿงพ FINANCIAL SECURITY

Risiti za Kielektroniki (PDF Receipts)

Washiriki wanaweza kupata risiti rasmi za kielektroniki zenye uthibitisho pindi wanapotoa Zaka na Sadaka kupitia mfumo wetu wa Cash Desk au Mtandaoni.

๐Ÿ“… Mfumo wa Hazina

Huduma Zetu za Kidijitali & Media

Kutoka kwenye Mfumo wa SaaS wa KanisaSmart hadi uzalishaji wa hali ya juu wa video za kikanisa.

๐Ÿ’ป

Mfumo wa KanisaSmart (Church SaaS Engine)

Usimamizi wa Kadi za Zaka na Sadaka mtandaoni, ushirikiano na M-Pesa, Daftari Kuu la Karani (ACMS Registry), uzalishaji wa Risiti za PDF, na Mabaraza ya Mchungaji.

๐ŸŽฅ

Live Video Streaming

Urushaji wa matangazo mubashara kwa ubora wa Full HD kwenye YouTube, Facebook, na TV kwa ajili ya Makambi, Semina na Mikutano ya Injili.

๐ŸŽ™๏ธ

Live Recording (Kwaya & Mikutano)

Kurekodi sound na video za kwaya au waimbaji binafsi wakati wa tamasha au ibada kwa viwango vya kimataifa.

๐ŸŽฌ

Video Editing & Graphics

Uhariri wa video za kwaya, vipindi vya TV/YouTube, ubunifu wa Mabango (Flyers), na Logos za Taasisi za Dini.

๐ŸŽจ

Custom Web Development

Ujenzi wa Websites za kipekee za Makanisa, Vyuo vya Bibilia, na Shule kwa ajili ya kuimarisha muonekano wenu mtandaoni.

Vivurushi Vyetu vya Mfumo (Pricing Plans)

Chagua mpango unaofaa kwa kanisa lako ili upate Subdomain binafsi na akaunti za viongozi.

Kifurushi cha Majaribio

Bure / Siku 30
  • โœ”๏ธ Subdomain Portal
  • โœ”๏ธ Mfumo wa Zaka na Sadaka
  • โœ”๏ธ Daftari la Washiriki (ACMS)
  • โŒ Hakuna Support ya Live Media
Anza Majaribio Bure

Kifurushi cha Juu (Premium)

Maelewano / Mwaka
  • โœ”๏ธ Domain Yenu Binafsi (kanisa.org)
  • โœ”๏ธ Custom Email Accounts
  • โœ”๏ธ Live Streaming ya Mikutano Mikuu
  • โœ”๏ธ Dedicated Technical Manager
Wasiliana Nasi

Sajili Kanisa Lako Mtandaoni

Pata Portal yako ndani ya dakika moja na uanze majaribio ya siku 30 bure.

๐Ÿ’ก Mfano wa Usajili

Jinsi Portal yenu itakavyoonekana:

1. Jina la Kanisa: SDA Mwenge
2. Subdomain / ID: mwenge
๐ŸŽฏ Link ya Kanisa Lenu:
index.php?kanisa=mwenge

Weka Oda ya Huduma / Wasiliana Nasi

Unahitaji Live Streaming, Live Recording ya Kwaya, Graphics au Website? Tuma maombi hapa.