Mfumo sahihi na salama wa kusimamia Zaka, Sadaka, Sensa ya Ushirika, na Mabaraza ya Kanisa. Hakuna makaratasi wala upotevu wa data tena.
Tazama sampuli za matukio tuliyorekodi, Live Streaming za Makambi, na Kwaya tulizofanya nchini.
Taarifa za hivi karibuni kuhusu maboresho ya mfumo, matukio ya kikanisa, na huduma mpya za Media.
Sasa kila kanisa linalosajiliwa KanisaSmart linapata anwani na portal yake ya kipekee mfano: index.php?kanisa=kirumba bure kabisa!
Gospel Multimedia Production inakuletea huduma ya urushaji matangazo mubashara (Live Broadcast HD) kwa ajili ya Mikutano ya Injili na Makambi kwa bei nafuu.
Washiriki wanaweza kupata risiti rasmi za kielektroniki zenye uthibitisho pindi wanapotoa Zaka na Sadaka kupitia mfumo wetu wa Cash Desk au Mtandaoni.
Kutoka kwenye Mfumo wa SaaS wa KanisaSmart hadi uzalishaji wa hali ya juu wa video za kikanisa.
Usimamizi wa Kadi za Zaka na Sadaka mtandaoni, ushirikiano na M-Pesa, Daftari Kuu la Karani (ACMS Registry), uzalishaji wa Risiti za PDF, na Mabaraza ya Mchungaji.
Urushaji wa matangazo mubashara kwa ubora wa Full HD kwenye YouTube, Facebook, na TV kwa ajili ya Makambi, Semina na Mikutano ya Injili.
Kurekodi sound na video za kwaya au waimbaji binafsi wakati wa tamasha au ibada kwa viwango vya kimataifa.
Uhariri wa video za kwaya, vipindi vya TV/YouTube, ubunifu wa Mabango (Flyers), na Logos za Taasisi za Dini.
Ujenzi wa Websites za kipekee za Makanisa, Vyuo vya Bibilia, na Shule kwa ajili ya kuimarisha muonekano wenu mtandaoni.
Chagua mpango unaofaa kwa kanisa lako ili upate Subdomain binafsi na akaunti za viongozi.
Pata Portal yako ndani ya dakika moja na uanze majaribio ya siku 30 bure.
Jinsi Portal yenu itakavyoonekana:
Unahitaji Live Streaming, Live Recording ya Kwaya, Graphics au Website? Tuma maombi hapa.